Saturday, May 25, 2013

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amjulia Hali Sheha wa Shehia ya Tomondo Zanzibar Baada ya Kumwagiwa Tindikali na Watu Wasiojulikana

Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Mkoa Mjini Magharibi Bwana Mohd Omar Said { Maarufu Kidevu } akielezea mkasa uliompata wa kumwagiwa Tindi kali { Acid } mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kumfariji.Picha na Hassan Issa- Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

No comments:

DKT. MWIGULU AWASILI SONGEA KUSHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 15, 2025 amewasili mjini Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya...