Mwenyekiti wa Baraza la
Mawaziri wa Africa Mashariki kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya (EAC) ambaye pia ni Waziri wa Africa
Mashariki kutoka Uganda, Shem
Bageine (mwenye mkoba wa bajeti) akiwa na Mawaziri wenzake kutoka Rwanda, Burundi, Tanzania
pamoja na Katibu Mkuu wa EAC, Dk. Richard Sezibera na Naibu Katibu Mkuu anaeshughulika na
masuala ya Fedha na Utawala. Leo Bajeti ya Fedha ya mwaka 2013/14 ya Jumuia hiyo imesomwa Bungeni nchini Uganda.
Mwenyekiti wa Baraza la
Mawaziri wa Africa Mashariki kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya (EAC) ambaye pia ni Waziri wa Africa
Mashariki kutoka Uganda, Shem
Bageine akisoma Bajeti ya Jumuia hiyo leo
Kikao cha Bunge la Jum,uia ya Afrika ya Mashariki kikiendelea nchini Uganda leo.
Comments