Muono wa jicho la samaki katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU
katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika
makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013
Marais Wastaafu wakiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU
katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013
Viongoi AU wakiwakumbuka waliotangulia mbele ya haki.
Comments