Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC wakifuatilia kwa karibu mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea jijini Tanga kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort. Mkutano huo ulitanguliwa na Semina ya Manunuzi ya Watendaji wa NHC iliyofanyika kati ya May 22 na 25.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Hamad Abdallah akizungumza na wajumbe wa kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika Hoteli ya Tanga Beach Resort
Wajumbe wa kikao hicho cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC wakifuatilia kwa karibu mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea jijini Tanga kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Goodluck Ole Medeye akifungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC wakifuatilia kwa karibu mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea jijini Tanga kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Wajumbe wa kikao hicho cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NHC wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Wajumbe wakijadiliana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030
Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. . Picha na Jube Tranqu...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
No comments:
Post a Comment