NIYONZIMA ASAINI YANGA MIAKA 2

 
Haruna Niyonzima (kulia) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati akitambulishwa kwao leo. Pembeni ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Abdallah Bin Kreb.
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima, amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo.

Comments