Friday, May 10, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Atua Arusha Kufungua Mkutano Mkuu wa ALAT

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana Spika wa Bunge mama Anne Makinda  kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili  May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia  (kushoto) na Mwenyekiti wa ALAT , Dr. Didas Masaburi baada  ya kufungua mkutano Mkuu wa   ALAT  kwenye Ukumbi wa Sundown Carnival jijinii Arusha, May 9,2013..Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...