Skip to main content
MBUNGE WA IRINGA ( PETER MSIGWA ) ATIWA MBARONI BAADA YA KUONGOZA WANANCHI KUFANYA FUJO
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo
Mbunge Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu
Machinga wakisukuma gari ya mbunge Msigwa
Polisi wakimfuatilia mbunge Msigwa kwa nyuma baada ya kufika eneo hilo bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi wakianza kufukuza wananchi eneo hilo
Polisi wakipita eneo la Mashine tatu asubuhi
Abiria
na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu
na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo
Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa Dodoma na ile ya mashine tatu
Ni Machafuko Iringa hivi leo
Comments