Breaking News:
Mahakama ya Rufaa Tanzania imemrejeshea ushindi aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini (CCM) Bwana Aeshi Hilaly dhidi ya mpinzani wake Bwana Norbert Namsebo wa CHADEMA baada ya kubaini mapungufu ya kisheria katika maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu ya Sumbawanga.
Comments