Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula akizungumza na Balozi wa
Sudan nchini, Dk. Yassir M. Ali leo katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba.
Balozi
wa Sudan nchini, Dk.Yassir M. Ali akiwa kwenye picha ya pamoja na
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangura mara baada ya
kumtembelea katika Makao Makuu ya CCM ,Ofisi ndogo Lumumba.
(Picha na CCM…
Comments
My page: faro software
daily.
my web page signage gauteng