Thursday, May 02, 2013

NHC yachangamsha michuano ya Bonanza la michezo ya Mei Mosi

Nahodha wa Timu wa timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Saidi Bungara akijaribu kumkabili beki wa  DHL kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo (Mei Mosi). Michezo hiyo ya Bonanza iliyashirikisha mashirika na taasisi mbalimbali nchini. NHC katika mchezo huo ilitoka sare ya mabao 2-2.
Beki wa NHC Andrew Rugarabamu akijaribu kumkabili mshambuliaji wa wa  DHL kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo (Mei Mosi) . Michezo hiyo ya Bonanza iliyashirikisha mashirika na taasisi mbalimbali nchini. NHC katika mchezo huo ilitoka sare ya mabao 2-2.


 Mlinda Mlango Anafi Mwambe wa timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akipangua mpira kutoka langoni kwake katika mchezo wa Bonanza wa NHC dhidi ya DHL kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo (Mei Mosi). Michezo hiyo ya Bonanza iliyashirikisha mashirika na taasisi mbalimbali nchini. NHC katika mchezo huo ilitoka sare ya mabao 2-2.


No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...