Monday, May 20, 2013

MBUNGE MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama
Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya kufikishwa mahakamani leo
Watuhumiwa wengine wa vurugu za machinga na polisi wakishuka katika karandinga la polisi


Wakili wa Msigwa kulia akiteta jambo nje ya mahakama
Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi wengine wa chadema mahakamani hapo huku wafuasi wao wakizuiwa nje ya mahakama
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamezuiliwa nje ya viwanja vya mahakama kuu kanda ya Iringa wakati mbunge alipofikishwa katika mahakamani mchana huu
Ulinzi mkali kweli kweli

1 comment:

emuthree said...

Haya tujiulize ni nini hatima yake , faida na hasara zake...je tunajenga au tunabomoa...je siku mbili za kutokufanya kazi, kuzalisha, ....zitaweza kufidiwaje....?

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...