Yeah pipozz, huyu ndio anayesemwa semwa kuwa muwakilishi
wetu wa BBA.
Siku ya tarehe 26 mwezi huu, itaanza kuonyeshwa rasmi msimu mpya wa big
brother "the chase" kwa wale wenye dstv usikose kuangalia kupitia
channel 198 upate kujua ni nani atakaeiwakilisha Tanzania mwaka huu.
Dola laki tatu kushindaniwa.
Credits: Zedylicious blog
Comments