Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akisaini kitabu
cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA. Aliyesimama ni
Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TANAPA Bi. Witness Shoo na kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya Hifadhi za Taifa (hawapo pichani) Arusha
alipowatembelea na kuzungumza nao juu ya changamoto ya kukabiliana na
vitendo vya ujangili nchini. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan
Kijazi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya Hifadhi za Taifa Arusha alipowatembelea na
kuzungumza nao juu ya changamoto ya kukabiliana na vitendo vya ujangili
nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akitoa taarifa ya shirika kwa Katibu Mkuu
wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi wakati wa kikao
baina ya Katibu Mkuu na Menejimenti ya shirika. Wafanyakazi wa TANAPA wakichukua kumbukumbu wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Makao Makuu ya TANAPA. Wafanyakazi
wa TANAPA wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa wakati alipokuwa
akiongea nao masuala mbalimbali ya utendaji kazi na changamoto ya
ujangili nchini. Sehemu ya wafanyakazi wa TANAPA Mkurugenzi
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akimpa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii Bi. Maimuna Tarishi mfuko wenye bidhaa mbalimbali za TANAPA za
kutangaza vivutio vya utalii katika Hifadhi za Taifa mara baada ya
kumalizika kwa mkutano .
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mh. Maimuna Tarishi akiwa katika
picha ya pamoja na uongozi wa TANAPA na baadhi ya wafanyakazi.
Comments
blog. Is it hard to set up your own blog? I'm not very techincal but I can figure things out pretty fast. I'm thinking about creating my own
but I'm not sure where to begin. Do you have any points or suggestions? Appreciate it
Also visit my site :: Visit here
having internet browser compatibility issues. Whenever
I look at your website in Safari, it looks fine but when opening in
IE, it has some overlapping issues. I just wanted to give you a quick
heads up! Apart from that, excellent blog!
Have a look at my blog post: more info
Between your wit and your videos, I was almost moved to start my
own blog (well, almost...HaHa!) Wonderful job. I really loved what you had
to say, and more than that, how you presented it.
Too cool!
Also visit my web page more info
it's awesome article.
My page ... visit this site
loading pace is incredible. It sort of feels
that you are doing any distinctive trick. Furthermore, The contents are masterwork.
you've performed a excellent task in this topic!
Also visit my site: click the site
me. Thanks a lot!
Feel free to surf to my web blog More information
this website and be updated with the newest gossip posted here.
My website click this site
Feel free to surf to my site: Click here
read this post and if I could I desire to suggest you few interesting things or advice.
Perhaps you could write next articles referring to this article.
I wish to read more things about it!
Feel free to surf to my page visit this site
Also visit my homepage - Click here
I'm trying to get my blog to rank for some targeted keywords but I'm not seeing very
good results. If you know of any please share. Kudos!
my homepage Click here
Feel free to visit my web blog Visit here