Monday, May 13, 2013

Wanawake Wafanyakazi wa NBC wazindua Mtandao wao


 Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Rajinder Singh (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Minnie Kibuta, Mkuu wa Rasilimali Watu wa benki hiyo, Flora Mollel Lupembe na Meneja Mahusiano Jamii wa NBC, Robi Matiko Simba.
 Viongozi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa Benki ya NBC, wakipozi kwa picha muda mfupi baada ya kufanyika kwa uzinduzi rasmi wa mtandao huo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi wa wafanyakazi wanawake wa NBC wakiwa katika hafla ya uzinduzi Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa benki hiyo (NBC-WNF), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wakibadilishana mawazo wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...