Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wakati
wa Ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa 'Sasa' Awamu
ya Kwanza jana Mei 24, 2013. Picha na OMR
Wanamuziki wa Bendi ya Mjomba, wakiimba kutoa burudani katika Maonesho
ya Mfumo wa Matokeo Makubwa 'Sasa' Awamu ya Kwanza, yaliyofunguliwa na
Rais Jakaya Kikwete, jana.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwasili kwenye Ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya
Taifa, jana Mei 24, 2013 kwa ajili ya Kufungua rasmi Maonesho ya Mfumo wa
Matokeo Makubwa 'Sasa' Awamu ya kwanza. Picha na OMR

|
Rais Jakaya
Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mchambuzi Sera Mkuu wa Ofisi ya
Rais na Mipango, Lorah Madete, wakati walipokuwa wakitembelea Maonesho
ya Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa Awamu ya Kwanza, baada ya kuyafungua
rasmi jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es Salaam.
Picha na OMR |
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mtafiti Mkuu
wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Mary Shetto, wakati walipokuwa wakitembelea
Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa Awamu ya Kwanza, baada ya
kuyafungua rasmi jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Comments