with the Tanzanian Navy. The vessels are visiting ports in Djibouti, Kenya, Tanzania, Mozambique, Mauritius, Seychelles and Comoros to enhance maritime safety and security in the region. (Photo Courtesy of the U.S. Embassy)
Kamanda anayeingoza meli ya kivita ya jeshi la Marekani Mark Kesselring akimuongoza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kukagua meli hiyo USS Nicholas wakati Rais Kikwete alipoitembelea meli hiyo na kuzungumza na maofisa wa kijeshi wailomo katika meli hiyo leo jioni katika bandari ya Dar es Salaam.
1 comment:
Mambo na nyakati! Wakati ule sijui kama meli hii ingetia nanga Dar na Mwalimu kwenda kuitembelea?
Post a Comment