
Hapo vipi jamani waweza kusoma ukaelewa, hivi huyo aliyebandika bango alikuwa na maana gani maana ukisoma katikati ya mistari utagundua tatizo na hili ndo tatizo letu kubwa watu ambao kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza.
Dodoma, Agosti 27, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na wazee wa Mkoa wa Dodoma pam...
No comments:
Post a Comment