Tuesday, January 12, 2010

Maadhimisho ya Miaka 46 ya mapainduzi ya Zanzibar yafana Gombani Pemba!!



Rais Aman Abeid Karume wa Zanzibar akikagua gwaride la heshima katika uwanja wa Gombani huko Pemba ambapo Zanzibar imetimiza miaka 46 ya Mapinduzi leo. Picha/Clarence Nanyaro….VPO



Wananchi mbalimbali kutoka vyama vya siasa vya CCM na CUF wakipita kwa maandamano katika kuadhimisha sherehe za miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Gombani huko Pemba .Wananchi wengi walijitokeza tofauti na miaka iliyopita kufuatia makubaliano ya amani ya hivi karibuni kati Rais Aman Karume wa CCM na Maali seif Sharif Hamad wa CUF.

No comments:

TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI

Dodoma Serikali ya Tanzania na  Marekani zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kikazi katika sekta ya madini, hususan kwenye utafiti wa kina...