Tuesday, January 19, 2010

msiba massachusetts wa mumewe Da'Chemi Chemponda



Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani hapa Cambridge, Massachusetts leo asubuhi (January 18, 2010).

Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu.

Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika.

Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi:

Chemi Che-Mponda Whitlow
617-497-4353 /617-497-4353

auEzekiel Concord Luhigo
781-632-3605
NB: Kwa atakaye piga toka nje ya Marekani tafadhali weka namba namba ya mwito ya nchi +1 mwanzoni mwa tarakimu hizo kumi zilizotolewa..
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...