Monday, January 11, 2010

Fainali za Face of Africa kufanyika Nigeria



PIchani ni vimwana 12 waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya 12 bora ya shindano hilo ambalo fainali zake zinatarajiwa kufanyika mwezi Februari nchini Nigeria.

Vimwana kutoka Nigeria, Botswana, Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini, Angola, Ghana, Kenya, Msumbiji, Tanzania, Ethiopia walifanikiwa kuingia katika hatua hii, hata hivyo kumi tu ndio watakaopanda jukwaani kwenye fainali hizo.

Zambia inawakilishwa na Tholakele, Lilian (Tanzania), Tholakele (Afrika Kusini), Roseanna (Zimbabwe), Nardos ( Ethiopia), Marvis (Nigeria), Lukundo (Zambia), Esperanca (Angola), Ernania (Msumbiji), Diana (Kenya), Benedicta (Ghana) na Thambi (Zimbabwe)

No comments:

PROF. SHEMDOE ASHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI HARVARD

  Na Mwandishi Wetu, Boston – Marekani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof....