Monday, January 11, 2010

Hali ya Mafuriko Kilosa


Viti na makabati vikiwa nje ya hema mojawapo katika kambi ya Kilosa Town, mjini Kilosa

Chaga za vitanda na mabo zake vikiwa chini ya mwembe vimelowana kwa mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia Jumamosi Jan. 9, 2010. Vifaa hivyo ni mali za wahanga wanaoishi kwenye kambi ya Kilosa Town, mjini Kilosa.

Gari la Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) lilipita kwenye Mashamba ya mkonge na mahindi yaliyofunikwa na maji kutokana na mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita wilayani Kilosa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...