
Mbunge wa Ukerewe Balozi Getrude Mongel akimpatia pole mmoja wa Majeruhi wa tukio la ujambazi katika kisiwa cha Izinga wilayani Ukerewe Tesile mtelya (43) ambaye amejeruhiwa sehemu za siri na risasi akimuonyesha mbunge huyo.
Dodoma Serikali ya Tanzania na Marekani zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kikazi katika sekta ya madini, hususan kwenye utafiti wa kina...
No comments:
Post a Comment