Sunday, January 17, 2010

Mambo ya Ngaresero



Kina mama wa jamii ya kimasai wa Loliondo Ngorongoro wakiwa wanatembeza kuni mitaani wakiuza kwa mzigo mmoja shillingi 600. Picha na mussa juma

Pichani ni sehemu ya barabara ya kutoka makao makuu ya wilaya ya Ngorongoro- Loliondo kwenda Arusha kupitia njia ya Ngaresero eneo la Sale ikiwa imeharibiwa vibaya ya mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

No comments:

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPOKEWA MSAADA WA VITABU KUTOKA ACCA

  Chuo Kikuu Mzumbe kimepokea vitabu 69 vya kufundishia na kujifunzia kutoka Association of Chartered Certified Accountants (ACCA) kupitia o...