Sunday, January 03, 2010

Kawawa azikwa


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika Kaburi la marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika Madale jijini Dar es Salaam jana mchana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi waandamizi wa chama na serikali akiwemo Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume,Makamu wa Rais Dr.Ali Mohamed Shein,Waziri kiongozi wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha wakiuswalia mwili wa Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa wakati wa ibada mazishi iliyofanyika nyumbani kwake Madale jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo wakati alipowasili nyumbani kwa Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa kushiriki katika mazishi yake yaliyofanyika nyumbani Kwake madale jijijni Dar es Salaam jana.(Picha na Freddy Maro)

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...