Kituo cha Ubungo leo hii Posted by Vempin Media Tanzania on January 25, 2010 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Picha iliyopigwa kutoka juu ikionyesha kituo cha kidogo cha daladala Ubungo (Minazi - old name). Hapo awali daladala zilikuwa hazilipii kuingia ama kutoka. Kwa sasa manispaa imeanza kuwatoza kila wanapotoka katika lango kuu la kituo Comments
Comments