
Mtoto anayeishi katika mazingira magumu akichezea tope jambo ambalo ni hatari kwa usalama wake kama ailvyokutwa na kamera yetu eneo la karume jijini Dar es Salaam jana. Paicha na Venance Nestory
Dodoma Serikali ya Tanzania na Marekani zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kikazi katika sekta ya madini, hususan kwenye utafiti wa kina...
No comments:
Post a Comment