Thursday, January 14, 2010

MABALOZI WA KAMPENI ZA KUTOKOMEZA MALARIA ZA KIZAZI ZINDUKA




Rais Jakaya Kikwete akiwa amepeana mkono na wanazumziki mbali mbali wa hapa bongo akiwamo Lady Jay Dee, Profesa Jay, na Banana Zorro, Ikulu jijini Dar jana,kwa lengo la kupiga picha mbalimbali kwa ajili ya kuhimiza/kuhamasisha mapambano ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria hapa Tanzania,Mpango huo unawashirikisha pia baadhi ya wasanii akiwemo Prof Jay,Marlow,Mwasiti,Bibi Kidude,Banana Zorro na wengineo. Picha zaidi Bofya Hapa. kwa kubonya hapa

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...