Maskini Mrema


Mwenyekiti wa Chama Cha Tanzania Labour (TLP) Augustine Mrema (Katikati)
akifarijiwa na mkewe (wa kwanza kulia) na Mwenyekiti wa TLP mkoa wa
Arusha. Leonard Makanzo, kwenye Hospitali ya Rufaa ya KCMC jana (Picha na Ally
Sonda, Moshi).*

Comments

Anonymous said…
Duh mzee anaonekana ni mgonjwa sana.

Mungu akuponye mzee.