Monday, June 09, 2008

Bunge kuanza kesho


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, William Lukuvi
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 9 , 2008 kuhudhuria
kikao cha buge kinachoanza Juni10,2008.(Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

1 comment:

Anonymous said...

HUYO NI SAMWEL SITA SI LUKUVI

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUISHI FALSAFA ZA RAIS DKT. SAMIA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuz...