Sunday, March 09, 2008

Waziri Mkuu Pinda

Mwana wa mkulima, Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na madiwani 23 kutoka katikawilaya ya Namtumbo ambao walimtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar esSalaam leo mchana. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Bw. Vita Kawawa. (Picha ya Ofisi ya Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

Anonymous said...

hi from Hungary!;)

ARAWAY Media Tanzania said...

thanx hey im happy to hear from you welcome to Tanzania

WAZIRI MKUU ALIPONGEZA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM

_Ni baada ya kuongeza thamani na kufikia shilingi trilioni 21, Julai 2025_ _Pamoja na kuongeza ukuaji wa hisa kwa zaidi ya asilimia 246_ _As...