Habari tulizozipata hivi karibuni kutoka Dodoma zinasema kuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa ametangaza kujiuzulu uwaziri Mkuu mbele ya Spika wa bunge Samwel Sitta.
Baada ya kutangaza nia yake hiyo, spika amesema mjadala wa ripoti ya richmond, na sio mjadala wa lowassa, ndio uendelee. Na ndicho kinachofanyika hivi sasa huko bungeni.
habari zaidi zinasema kwamba Lowassa amesema tayari ameshamwandikia Rais barua ya kujiuzulu kwa kuwa kamati haikumtendea haki kwa kutomuuliza ambayo ni kinyume ya haki yake ya asili ya kujitetea.

Comments
[url=http://healthplusrx.com/kidney-stones]kidney stones[/url]
MaksCaummaBut