Thursday, February 07, 2008

Mama Lowassa leo


Mke wa waziri Mkuu Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika hali ya majonzi leo hii ndani ya ukumbi wa bunge mjini dodoma muda mfupi baaada ya waziri mkuu Edward lowassa kutangaza azma yake ya kutaka kujiuzulu wadhifa huo mapema leo asubuhi. (Picha ya Edwin Mjwahuzi aliyepo Dodoma)

2 comments:

Anonymous said...

Kwa nini analia! Anadhani atavuliwa dhahabu zake?

Huko watoto wadogo wanakufa kwa kukosa dawa nyie mnakula maraha. Haya tuone!

Anonymous said...

Mkuu nimepita kwako na kuchota ujuzi kidogo, naomba nimwagie e-mail yako nikutumie picha zaidi
salaam haki.yako@gmail.com

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡¬ DIPLOMASIA NA USHIRIKIANO WA TANZANIA–UGANDA WAZIDI KUIMARIKA

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo, tarehe 06 Agosti 2026, ...