Baraza la Mawaziri kutajwa jioni

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail:
ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kutangaza Baraza la Mawaziri leo (12/02/2008) saa 9.00 alasiri katika ukumbi wa TAMISEMI, Dodoma, badala ya saa 4.00 asubuhi kama ilivyotangazwa awali.

Wahariri/Waandishi/Wapiga picha wawe wamewasili ukumbini saa 8.00 Mchana na wale wenye waandishi wao Dodoma wawaeleze vema ili wazingatie muda.
Ahsante na karibuni.

Kurugenzi ya Mawasiliano,
Ikulu, Chamwino
DODOMA.
12/02/2008

Comments

Anonymous said…
Hii kweli ni aibu. Yaani ofisi ya rais in email ya yahoo.