Tuesday, February 12, 2008

Kitendawili








Jamani eeehhh hivi kwanini kunakuwapo kusitasita kutangazwa kwa baraza la mawaziri hivi sasa, hivi ni kwasababu suala ni nyeti au ni kwasababu kuna kuna kitu kingine. Tunaanza kuona trend inabadilika hapa huku huyu akimsifia yule na yule akitumia diplomasia kumtimua mwingine, lakini ukweli ni kwamba haya madudu ya Richmond yana mambo mengi, namuonea huruma sana Rais sababu yupo katika wakati mgumu, kwa kuwawajibisha marafiki zake waliomsaidia kuingia madarakani. (Picha za Edwin Michuzi)

No comments:

WAZIRI MASAUNI ASHUHUDIA NUSU FAINALI YA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Zanzibar — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Yussuf Masauni , ameshuhudia mchezo wa kwanza wa nusu fain...