Sunday, February 24, 2008

Leo ni Leo Kiteto


Tambwe Hizza akifanya mambo

Wana mgambo wakiwa tayari kudhibiti vurugu.

FFU wamemwagwa kibao jimboni Kiteto, sijui CCM wanahofia nini??

Kapteni Komba akishuka katika helikopta waliyoikodi kutoka Kenya.



Eti CCM walisema matumizi ya Helikopta ni ufisadi sasa leo imekuwaje wanatumia helikopta maji yamefika shingoni nini???

No comments:

FURSA MPYA KWA VIJANA: BILIONI 2 KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengene...