Bush welcome to Tanzania Posted by Vempin Media Tanzania on February 15, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Jamaaa hawa waliamua kuchanachana bendera Hawa walikuwa na uchungu ile mbaya Hapa wanakaribia kuingia Jangwani Waandamanaji wa kiislamu kibao wakimkaribisha Bush kwa staili ya aina yake, cheki hapa watu kibao Walikuwapo pia vijana, vibabu na watu wengine kibao tuu na walitembea umbali mrefu sana.Kina mama pia hawakubakli nyumaOyaaaa huyu Bush vipi, ndivyo wanavyoonekana kusema waandamanaji hawa. Comments
Comments