Friday, February 08, 2008

Rais Kikwete avunja baraza la mawaziri

BREAKING NYUUUUUZ!!

Rais Jakaya Kikwete amekubali ombi la aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa la kujiuzulu na pia amelivunja Baraza la Mawaziri.

Taarifa zilinukuliwa katika takribani vyombo vyote vya habari nchini leo znasema kuwa Rais amefikia uamuzi huo baada ya kutafakari mambo kadhaa ikiwamo kujiuzulu kwa mawaziri watatu.

JK aanatarajia kumwajiri Waziri Mkuu mpya leo hii na kumuapisha Jumapili huko Chamwino, kabla ya kutangaza baraza jipya la mawaziri kesho

No comments:

KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI

KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI  Na Hamis Dambaya, Amboni Tanga. Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ng...