Friday, February 08, 2008

Amani ya Kenya



Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan (katikati), Mke wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela' Graca Machel (kushoto) na Rais wa mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa wakiondoka katika ukumbi wa majadiliano ya amani jijini Nairobi, jana. Vyama vinavyohasimiana nchini Kenya vimefikia hatua nzuri na huenda vikafikia maafikiano ya aina fulani ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na mgogoro uliotokana na matokeo ya uchaguzi December 27, hayo yalifahamishwa na Annan picha na REUTERS.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...