Usafiri wa Treni





Baadhi ya abiria wanaosafiri na gari moshi ya reli ya kati wakiwa wanaingia ndani ya behewa kwaajili ya kuanza safari yao kurejea bara, usafiri huo tangu urejee umekuwa katika hali ya kusuasua.

Comments