*Apewa jina la Chifu wa Wanyakyusa, aitwa Mwakabulufu
WAZIRI MKUU Mizengo amesema Serikali imeamua kufufua bandari ndogo 14
kwenye mikoa mitatu inayozunguka Ziwa Nyasa ili kuimarisha usafiri wa
majini kwa wakazi wa Ruvuma, Njombe na Mbeya.
“Tangu mwaka 2006 bandari za kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya
zilikufa na hivyo kuleta shida ya usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo
lakini Serikali imeamua kuzifufua bandari hizo na Itungi itakuwa ndiyo
kituo kikuu cha bandari zote katika Ziwa Nyasa,” alisema Waziri Mkuu.
Alikuwa akizungumza na wakazi wa Wilaya ya Kyela kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika jana jioni (Jumatano, Februari 26, 2015) kwenye
uwanja wa michezo wa Mwakangale na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa
wilaya hiyo.
Alizitaja bandari hizo kuwa ni Ndumbi, Lundu, Njambe, Mkili, Liuli, na
Mbamba bay ambazo ziko mkoani Ruvuma. Nyingine ni Lumbila, Ifungu,
Nsisi, Lupingu na Manda ambazo ziko Njombe wakati bandari za Mbeya ni
Itungi, Kiwira na Matema.
Alisema ili kufanikisha hilo, Serikali imehamisha chelezo (Dry Dock)
kutoka bandari ya Mwanza na kwamba mkandarasi kutoka Kampuni ya
Songoro Marines, ameshaanza ujenzi wa chelezo hiyo.
“Baada ya kukamilika, Chelezo hiyo, itatumika kutengenezea meli mpya
yenye uwezo wa kubeba abiria 200 na tani 200 za mizigo na kufanya
ukarabati wa meli pindi zinapohitaji matengenezo. Nimeambiwa na
mkandarasi kutaka watamaliza hii kazi ifikapo Juni, mwaka huu,”
alisema huku akishangiliwa na umati huo.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Kyela baada ya kufungua ukumbi wa Halmashauri hiyo wakiwa katika ziara ya wilaya hiyo Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakitazama eneo itakapojengwa chelezo na bandari ya Itungi wilayani Kyela wakiwa katika ziara ya wilaya hiyo, Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na watalaamu wa kampuni ya kichina ya CHICCO kabla ya kufungua daraja la Mwaya lililojengwa na kampuni hiyo wilayani Kyela Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mama Mlemavu, Lesia Kambungwe baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Kyela akiwa katika ziata ya wilaya hiyo Februari 26, 2015<(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa chelezo ya kuundia meli kwenye bandari ya Itungi, Kyela akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwendesha baiskeli akipita katika daraja la zamani la Mwaya wilayani Kyela huku wakitazama daraja jipya (kulia) lilozinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Mbeya Mzee John Mwakipesile baada ya kuwasili kwenye makazi ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela kwa ziara ya siku moja wilayani humo Februari 26, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Wanafunzi wakimpungia mkono Waziri Mkuu Mizengo Pinda hayupo pichani
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu wa CAHDEMA wa kata ya Mwaya, Ageni Pamesa kabla ya kufungau maabra ya shule ya sekondari ya Mwaya akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamu

Mchungaji Chedie Lwiza ambaye ni msaidizi wa Dr. Alex Malasusa Askofu mkuu wa 

Nang’ida Johanes Lairumbe Mkurugenzi wa Upendo Media akitoa utambulisho kwa viongozi mbalimbali waliofika katika hafla hiyo ya makabidhiano iliyofanyika katika jengo la Luther House jijini Dar es salaam, Kutoka kulia ni 