Thursday, October 02, 2014

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo kutangazwa.

No comments:

RAIS DKT. MWINYI: MUUNGANO UENDELEE KUWA CHACHU YA UKUAJI WA UCHUMI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Map...