Friday, October 10, 2014

BAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA NGUVU IJUMAA YA LEO

 Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii……
 Divas wa Skylight Band walisongesha vya kutosha kutoa burudani ya nguvu kutoka kushoto ni Aneth Kushaba, Digna Mbepera na wa mwisho kulia ni Mary Lucos.
Digna Mbepera akizipiga vocal vilivyo.
Hashimu Donode akiimba kwa hisia kaliii kutoa Burudani ya Nguvu
 Sam Mapenzi akiimba kwa raha zake kutoa burudani ya nguvuuu kwa mashabiki wake.
Ni Kiafrika zaidi…..mrembo wa Skylight Band Mary Lucos akiwa na furahaaa kubwaaa kuona  mashabiki wake wanafurahaaa.
 Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali ndani ya Thai Village Ijumaa ileeeee iliyopita kabla ya kuelekea nchini Oman.
Majembe ya Skylight Band wakiongozwa na Joniko Flower(wa kwanza kushoto) wakiyarudi vilivyo kuwapa burudani mashabiki wao

No comments:

MIAKA 99 YA JESHI LA CHINA IWE CHACHU CHA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA ULINZI NA TANZANIA- DKT RHIMO NYANSAHO

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Chin...