Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea Shirika la Nyumba la Taifa

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisalimiana na wafanyakazi kwa salamu maarufu 'solidarity' leo hii, muda mfupi baada ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kufika katika Shirika hilo kwa ziara ya siku nzima.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisalimiana na wafanyakazi kwa salamu maarufu 'solidarity' muda mfupi baada ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kufika katika Shirika hilo kwa ziara ya siku nzima.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Mheshimiwa James Lembeli akizungumza na wafanyakazi muda mfupi baada ya kufika Shirika la Nyumba la Taifa kwa ziara ya siku nzima alioambatana nao katika picha ni wajumbe wa kamati hiyo na Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee (wa kwanza kulia).
 Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Mheshimiwa James Lembeli akisalimiana na wafanyakazi wa NHC.

Comments