Katibu Mtendaji mpya wa SADC Dr.Stergomena Tax akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa Malawi Anastazia Msoza wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dkt.Stergomena Tax wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi jana kikao hicho kimeisha jana. Kushoto ni Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini.
Rais wa Malawi, Dkt. Joyce Banda (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa ,Malawi, Anastazia Msosa, na Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma (kulia) wakimpongeza Dkt. Tax, baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo jana
Rais wa Dkt. Joyce Banda(wa pili kushoto) Jaji Mkuu wa Malawi Mhe. Anastazia Msosa,na Mwenyekiti wa Umoja wa Africa (AU) Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma wakimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dkt.Stergomena Tax baada ya kula kiapo wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi. Picha na mdau Freddy Maro-IKULU
Comments