Wednesday, August 28, 2013

Mamia ya wananchi wa mji wa Iringa Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Chadema

  Sehemu ya mamia ya wananchi wa mji wa Iringa wakishangilia kwa nguvu wakati Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu( wa kwanza kushoto)akiwa na  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe wakiwasili kuwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya
 Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu,akiwapungia mamia ya wanachama wa chadema muda mfupi kabla ya kuhutubia mkoani iringa katika mkutano wa hadhara wa Maraza ya Wazi ya Rasimu ya katiba mpya,
 Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu( wa kwanza kushoto)akiwa na  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe wakiwasili kuwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya. Picha na Kurugenzi Mawasiliao-Chadema.

No comments:

RAIS NDAITWAH AONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU NCHINI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt, Netumbo...