Wednesday, August 14, 2013

TASWIRA ZA MAZISHI YA MAREHEMU ERASTO MSUYA

 Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokua limewekwa.
 Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.

 Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka alipo wasili Msibani.
Mc wa Shughuli ya Mazishi alikua ni JB.
Maelfu ya Waombolezaji waliokaa kila kona ya Eneo la Msiba wakifuatilia taratibu ya Mazishi.
Waombolezaji wakifuatilia Taratibu za Mazishi kupitia Luninga zilizokua zimewekwa kila kona
Waombolezaji wakiwa katika kwenye foleni ndefu ya watu 
wakiwa wanaelekea kwenda kutoa heshima za Mwisho kwa Marehemu.


Kwa picha za matukio zaidi kuhusiana na mazishi ya bilionea Erasto endelea kutembeleawww.kingjofa.blogspot.com 

No comments:

KIKWETE ATEULIWA KUWA MWAKILISHI WA NGAZI YA JUU WA MWENYEKITI WA KAMISHENI YA AU

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), Mhe. Mahmoud Ali Youssouf, amemteua Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Ki...