Wednesday, August 21, 2013

ALHAJ MWINYI NA MZEE MKAPA WAWASILI ZIMBABWE KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MUGABE

Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin William
 Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama
 Anna Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa 
wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya
 kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe. Robert Mugabe, 
inayotarajiwa kufanyika kesho

Alhamisi Agosti 21,…

Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin William
 Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna 
Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa 
Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya 
kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe. Robert Mugabe, 
inayotarajiwa kufanyika kesho
Alhamisi Agosti 21, 2013. (PICHA NA IKULU)

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...