Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza
katika hafla ya uzinduzi waKitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki
kwa Wateja Wakubwa cha NBC jijini Dar es Salaam leo.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kushoto)
akiwatambulisha baadhi ya maofisa katika kitengo hicho katika hafla hiyo.
|
Comments