SAKATA LA KUKAMATWA KWA WATU WANAODAIWA MAJAMBAZI TAZARA

Majambazi wakamatwa hii leo mchana Tazara wakikimbia baada ya kupora fedha Milioni kadhaa katika kituo cha mafuta cha Lake Oil ambazo zilikuwa katika moja ya magari yaliyoingia kujaza mafuta kituoni hapo. Katika gari la Polisi ni watuhumiwa hao wa ujambazi Taarifa zaidi. 
 Polisi wakipanda katika gari lililo na watuhumiwa hao wa ujambazi.
 Huyu ni muuza CD ambaye alikuwa katika gari dogo aina ya Toyota Pick Up na mara majambazi walipoivamia yeye aliruka na kuanza kutimua mbio na Polisi kudhani ni jambazi linakimbia hivyo kuanza kumfukuzia na kumkamatia Uwanja wa mpira jirani na soko la Vetenari.


 Mmoja wa watuhumiwa akivuja damu huku mwenzake akiwa amelala chini
 Watuhumiwa wa Ujambazi wa uporaji fedha eneo la Buguruni Malapa wakiwa katika Land Cruiser ya Polisi.
 Polisi wakiwa eneo la tukio
 Wananchi wakiangalia watu hao walio kamatwa baada ya kudaiwa kupora fedha.
Pikipiki ambayo ilidaiwa kuporwa eneo la Buguruni na Majambazi hao na kukimbia nayo.Picha Kwa Hisani ya Father Kidevu Blog

Comments