TANAPA YAFUNGA RASMI MAFUNZO YA AWAMU YA PILI YA KUKABILIANA NA MATUKIO YA UJANGILI KWA UHARAKA

Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akikagua gwaride la Kikundi cha Kukabiliana na Uhalifu kwa Haraka (Rapid Response Team) kilichohitimu mafunzo yao katika Hifadhi ya Taifa ya Ruahamwishoni mwa wiki.Picha zote na Pascal Shelutete wa TANAPA
2Wahitimu wa RRT wakiapa Kiapo cha Utii mbele ya Mgeni Rasmi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi.3Wahifadhi wakifuatilia kwa makini zoezi la uhitimishwaji wa mafunzo.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Hifadhi ya Ruaha Dk. Christopher Timbuka, John Shemnkunde, Mtango Mtahiko na Godwell Meingataki.
4Mkurugenzi wa Uhifadhi wa TANAPA Martin Loibooki akisoma maelezo kuhusu mafunzo hayo kwa mgeni rasmi. 
5Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akiongea na wahitimu.
9Wakufunzi Genes Shayo na Martin Mthembu wakionyesha wageni waalikwa na wanahabari matundu ya risasi zilizofyatuliwa na wahitimu.10Picha ya pamoja ya wahitimu na Mgeni Rasmi.11Makamanda wa Vita dhidi ya Ujangili walioendesha    mafunzo haya. Kutoka kulia ni Genes Shayo, Venance Tossi na mtaalamu kutoka Afrika Kusini Martin Mthembu.

Comments